Konde anazijua fitna zote. Sasa akazitumie hizo fitna na aongeze ma ujanja yake.
Wasafi tutawasikia tu.
Najua kina Tale,Salam,Fella hawajafurahi.
Harmonize atakuwa analitambua hili.
Jana nimemsikia Sallam akisema Raynavy kapanga ile nyumba.
Eti wanawashauri kupanga ili pesa wainvest kwenye mziki.
Sasa ni upumbavu kupanga mamilion kwenye mjumba kama ule.
Kwa nini usipange nyumba ya kawaida halafu unajenga kidogo kidogo?