1. SABUNI za kufua, kuoshea tiles, vyombo, spea za gereji (habari ya magrisi kila mahali kwisha) na kuogea (ukurutu wa kuchafua taulo kwisha)...bidhaa ni bora kabisa TBS wamethibitisha
2. SABUNI (DETERGENT) za kusafishia choo, nywele, vidonda, mabanda ya mifugo (hakuna tena habari ya kuku kuumwaumwa honyo)
Bei zetu zinaanzia Tsh 1000- 5000/= ili kila mtanzania apate bidhaa bora kwa gharama nafuu ila ukitaka kipimo cha juu zaidi utapatiwa.....