Hii ndege ni ndogo sanaAirbus A220. First in Africa for ATCL. Kenya lini mtakuwa nayo??
That is only done by KQ. Ethiopia wana brand tofauti pia. Tena bombardier ni nyingi kwa Ethiopia.ππππMeanwhile global airlines are standardizing their fleet.
While kangaroo airlines are buying every aircraft they can imagine, airlines with experience are moving towards single models for efficiency.
Ile hasara itawachapa haijawahi onekana.
Meanwhile, Moderator toa uchafu.
Sema hizo ndegeπππTume nunua mbili. Angalia hiyo video ya Youtube ndo uje useme ni ndogo sana. Inauwezo wakutoka Dar es salaam hadi India. Pia South Africa inafikaHii ndege ni ndogo sana
80% of their fleet are boeings,then airbus comes next with bombadiers,we are hereThat is only done by KQ. Ethiopia wana brand tofauti pia. Tena bombardier ni nyingi kwa Ethiopia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu unapoweka hapa news za Tanzania mbona huwa umuiti Moderator? [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππIts not more than 80%πππππ80% of their fleet are boeings,then airbus comes next with bombadiers,we are here
Pia ukiangilia ndege zake ambazo bado zipo kwenye order nyingi ni short na medium range. Pia kachanganya. 10 are q400 bombardier short range and 29 are boeing 737 medium range. Swali lakujiuliza ni kwa nini anahagiza ndege ndogo nyingi??πππππ80% of their fleet are boeings,then airbus comes next with bombadiers,we are here
Sasa hatutalala kwa sababu ya mkebe kama huu?
"One and Only in Africa..Kenya mtabaki kuwa watazamaji hadi lini???". When it's the first in Africa, it's not Africa lagging behind you but Kenya. I never knew that you view Kenya this big!...
Sasa Kenya tena inakujaje mkuu?
Eti mkebeππππ Nionyeshe ndege hata moja ambayo mmenunua on Cash??ππππSasa hatutalala kwa sababu ya mkebe kama huu?
Kama ilivyo kujaππSasa Kenya tena inakujaje mkuu?
Hahahahaha sawa mkuuKama ilivyo kujaππ
Mwendo wakuchapaπππNi ndege ya medium size na nzuri kwa kweli kwa mazingira ya soko letu...
Sasa hatutalala kwa sababu ya mkebe kama huu?
They use their 737s for pickups from around africa and long range for 5hrs flights plus,thats because bole is a hub, u want to compare urself with ET?Pia ukiangilia ndege zake ambazo bado zipo kwenye order nyingi ni short na medium range. Pia kachanganya. 10 are q400 bombardier short range and 29 are boeing 737 medium range. Swali lakujiuliza ni kwa nini anahagiza ndege ndogo nyingi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 943086