One belt one road project

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Wakati hapa nyumbani viongozi wetu, wanafanya siasa za kitoto, kuchagua watu wasio na uwezo mkubwa kwenda bunge LA EA, China viongozi wamekuja na mradi mkubwa was biashara utakaounganisha nchi 65 na kutumia karibu 2tillion USD.

Mradi utahusisha ujengaji wa bandari, njia za reli, kutoka China, kupitia mashariki ya kati mpaka Ulaya, njia nyingine no kutoka China, kupitia India/Pakistani mpaka Kenya,
ni biashara itakayohusisha 60% ya watu wote duniani, sisi hata kuamisha mahindi kutoka Tunduma kwenda Kagera ni shida.

Tusipokuwa makini, tutaendelea kukanyagwa kila idara mpaka tufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…