One day Yes...!

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,264
Nataka niishi kama Gwajima
1. Unakuwa na hummer kama tatu
2. Ndege chopa kama tatu
3. Unakuwa na nyumba orofa 3.
4.Yaani wewe japan na nje ya nchi wanakuheshim sana kuliko nchini kwako
5. Unakuwa na sifa za kumchambua kila mtu hata kama ni raisi au waziri
6. Unakuwa na kanisa lako haraf yeyote aseme tu we unaendelea na maisha yako hamna aliyemleta mwenzake duniani ila mungu tu
7. Ukisikia fununu za kusakwa na polisi unaacha kutembelea gari coz watakukamata wewe ni kwendo wa chopa tu hata kama unatoka tabata kwenda kariaoo hii inaepusha polisi nabtrafiki kukufatilia watachoka wenyewe coz hawajui utakapotua
8. Ukichokozwa UNALIAMSHA DUDE
9. Dressing code yako unique hamna hata anaekuiga
10. MWISHO UNAKUWA NA MABODYGUARD KULIKO RAISI WA NCHI .
 
Hiyo yote ni kama, "kama dampa ungekuwa Gwajima,
kama dampa ungekuwa na chopa, kama....
[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]"
 
Wakati Gwajima anasoma buswelu alikuwa anapenda somo la physics. Kwa taarifa yako tu
 
Hiyo yote ni kama, "kama dampa ungekuwa Gwajima,
kama dampa ungekuwa na chopa, kama....
[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]"
One day Yes man najipanga
 
Itachukua mda sana au lije zali la mtende.[emoji23]
 
Picha yake tafadhari ndo tuta enjoy thread
 
Gwajima ni zaid ya noma anakula pepo yake hapahapa Kwa mungu anapaona mbali aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…