mtvbase JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 1,243 Reaction score 561 Jun 14, 2014 #1 Wewe kama raia wa Tanzania ambaye hujawahi kuwa na ndoto za kukaa chini na rais kikwete kuongea nae,siku moja ukapata bahati ya kuongea naye private ikulu kwa saa 1 ungemwambia nini
Wewe kama raia wa Tanzania ambaye hujawahi kuwa na ndoto za kukaa chini na rais kikwete kuongea nae,siku moja ukapata bahati ya kuongea naye private ikulu kwa saa 1 ungemwambia nini
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jun 14, 2014 #2 Ningemuambia naomba uniongezee barafu, i love my juice really cold. ya kuambiwa alishaambiwa yakaisha!
Ningemuambia naomba uniongezee barafu, i love my juice really cold. ya kuambiwa alishaambiwa yakaisha!
Mpitagwa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 2,339 Reaction score 1,123 Jun 14, 2014 #3 What should be done to curb unemployment