Sio bongo tu...hataIla bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
Hahahaaa mjini wanasemaIla bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
Kasikilize Singeli na vidukuNdo kina nani hao?madiwan au wacheza soka?
Anakwambia stereo flow singa singa AKA........When it comes to flow Stereo murders One...
Hapa ni kama BIG N TUPAC...Napenda flow ya stereo but lyrics za one ni gumzo. Binafsi wote hawa nawaona ni wadogo zake unju
S O N G A.....uyu moko ni ajabu san but kunakichwa kinaitwa songa
Wa Ghana wa MTIBWA.Ndo kina nani hao?madiwan au wacheza soka?
Umeua.Ww c mchele mchele utawajuaje Hawa maraia
Muite Pengo , shidaa huyu jamaaaKichwa mimoshi aka kichwa cha treni atar sana
Moko wa miujiza
Samaki mwenye kiu ndani ya majiS O N G A.....
Kuna ngoma linaitwa Black ninja.....hatari humo