One month without JF niliwamiss mno

Welcome back Da'Vinci
 
Karibu tena kundini
 
Karibu Upya mate" sio kwa kututelekeza huko aisee..""" by the way " pole na masahibu ya dunia"".....ufanye utudondoshee nondo moja matata kule kwenye jukwaa letu la akili "" maana tulikukosa mnoo""
 
Welcome back.... Kuna nyuzi pending zipo mezani kwako nilikutag uje umwage nondo kule jukwaa letu pendwa
 
wee jama bado unapumua tu? Indundu kapotelea wap
hahaa chief ulitaka"" ni R.I.P..bado aisee...Nipo kwenye budget ya wanaopaswa kupewa pumzi na Mwenye universe yake "" indundu anazurula kwenye jukwaa" la biashara....anasoma comment za waliopigwa na Ontario....kuna mtu kaleta hoja kuwa Jamaa "" kakimbia na ml.50 tsh..
 
bora umerud asee rafk yako conor anakutafta
 
Mwezi?? Aisee hongera sana inahitaji moyo kukaa bila kulog in humu ndani ya mwezi mzima , karibu tena.
 
Na 2C la kidhungu umetukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…