menyidyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 1,339 Reaction score 194 Nov 21, 2010 #61 huchoki kukonyeza
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,861 Nov 21, 2010 #62 Rutashubanyuma said: Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu? Click to expand... ...kwasababu; Rutashubanyuma said: Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem............... Click to expand... Dada zetu hawalaumiki sana, sie wanaume tumezidi uongo aisee.
Rutashubanyuma said: Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu? Click to expand... ...kwasababu; Rutashubanyuma said: Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem............... Click to expand... Dada zetu hawalaumiki sana, sie wanaume tumezidi uongo aisee.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Nov 21, 2010 #63 mgaa gaa na upwa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 21, 2010 Thread starter #64 mgaa gaa na upwa Click to expand... Ungelimalizia hiyo tungo ingenoga........................