One-night stand

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,053
Reaction score
170
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa yeye hupendelea mapenzi ya "one night stand"
sikumuelewa afu nilijisikia noma kumuuliza.

Mwenye kujua au aliyewahi kufanya naomba utujuze.....
 
siku mkiamua kukurudia ruksa......no strings attached at first ila as days go....wengine huwa na strings.....

Mmoja akinogewa lazima!Mara kawivu...mara mbona umepoteo...kidogo kidogo wanafall!
 
siku mkiamua kukurudia ruksa......no strings attached at first ila as days go....wengine huwa na strings.....

naanza kupata picha maanake huyo jamaa mkienda naye club ni kosa yaani debe linaendelea yeye kashaenda ku-do.
 
Mmoja akinogewa lazima!Mara kawivu...mara mbona umepoteo...kidogo kidogo wanafall!

dearest hii kitu isiskie kwa wenzio....watu wamejidai ooooohhh sitaki strings...leo ni mume na mke.....love nyingine huanza kiajabu sana!!!!!!
 
naanza kupata picha maanake huyo jamaa mkienda naye club ni kosa yaani debe linaendelea yeye kashaenda ku-do.

kabisaaaaaa.....ila ukweli ka wivu kanakuwepo ukisha-do na mtu....:spider:
 
Jamaa anaisifia sana anasema ni tamu mno na kuna siku anajutia ku-lose contact za one night stand wake.
 
wale wanaoendekeza one night stands bila protection mara nyingi wanaishia kupata mtoto or worse magonjwa ya zinaa.
 
Orait. Najifunza, mimi mwanafunzi. Hivi kufall kunaanza baada ya mchakachuog?g!!

mwanafunzi uwe wewe Biggie???? ku-fall kunaweza anza before or after or during mchakachuo....l.o.l
 
dearest hii kitu isiskie kwa wenzio....watu wamejidai ooooohhh sitaki strings...leo ni mume na mke.....love nyingine huanza kiajabu sana!!!!!!

Ndo maana walisema 'ndege mjanja hunaswa na tundu bovu' dearest!Sitaki sitaki mara anajikuta anataka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…