one night stand!!!!!

Joined
Feb 11, 2013
Posts
9
Reaction score
2
wapendwa samahani,,hii mada kuna mtu aliirusha bila ya mimi kujua,,hivyo naomba tusameheane kwa mambo kama haya,,tafadhali
 
wee katafute kwengine...hawa mademu wa jf full kutaka mahela.....they yet to appreciate the beauty of one nyt stands
 
samahani wapendwa ,kuna kijana nimemwachia pc kwa muda nikasahau kulog out,kaingia na kufanya utundu wake,,,samahani don't concentrate on what is written here,,,,
 
mmmh tuwe tunaangalia na mada za kujadili....majina mengine yakwetu lakin twaaibishana tu....okay its non of our concern lakin mmh Nampa heko jamaaa aliekupa dongo,,,kumbe wewe ni kijana mdogo kama mimi then wafanya ujinga
 
hongera boss kwa kumpa dongo huyo bwana mdogo,,,I wish angekua anajua ni nini anafanya,,kumbe ni yankee tu
 
wapendwa
samahani,,hii mada kuna mtu aliirusha bila ya mimi kujua,,hivyo naomba
tusameheane kwa mambo kama haya,,tafadhali

hahaaaaa si kakusaidia, pimia upepo uone zitaingia application za nitumie money kwa mpesa, t-pesa, ngapi? just kidin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…