One of my favourite comedians

One of my favourite comedians

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee.

Hongera sana Wakenya.

Njugush alikuwa yule THRK kipindi hicho. Saiv namuona kawaida tu....
Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee. Hongera sana Wakenya...

Desagu, Jaymoo na yule mshikaji wake Cliff ndo kidogo nawafatilia.

MCA tricky nina muda sana sijamfatilia. Comedy za Kenya saiv sijui nazionaje, siyo kama miaka mitatu au minne iliyopita.

Tafuta series moja ya wakenya youtube inaitwa Janjaruka. Is not actually a comedy. Ila iko far beyond content nyingi za wakenya ambazo nimeziona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Mammito na Monk the Comedian pia.
Nawajua na huwa nawafuatilia kiaina. Monk the Comedian anapita njia za MCA Tricky. Kwa female comedians I like Mammito, Jemutai and Teacher Wanjiro. Huwa nikifika Nairobi sikosi kwenda Churchill...
 
Mc Jessy huwa ananifurahisha sana!! Wakenya wamepiga hatua kwenye standup commendy sana!! Komedi zao sio za majungu au kusema sema watu ovyo kama za Tanzania!! Churchill is the Best place to enjoy
 
Ila wengi wao akiwemo huyo MC Jessy wanapenda comedy za ukabila (hasa huwaonea sana Wakikuyu) jambo ambalo halipendezi. Ndiyo maana kwenye Churchill Show nawapenda zaidi MCA Tricky, Jasper Murume, Smart Joker, Mammito, Jemutai na kuna jamaa mmoja nimemsahau jina.

Kabla ya ujio wa MCA Tricky, best comedian wangu alikuwa Professor Hammo...
 
Triple G what a coincidence! Kumbe mimi na wewe tumejisajili siku moja hapa JF! August 12, 2011...
 
Ila wengi wao akiwemo huyo MC Jessy wanapenda comedy za ukabila (hasa huwaonea sana Wakikuyu) jambo ambalo halipendezi. Ndiyo maana kwenye Churchill Show nawapenda zaidi MCA Tricky, Jasper Murume, Smart Joker, Mammito, Jemutai na kuna jamaa mmoja nimemsahau jina.
Kabla ya ujio wa MCA Tricky, best comedian wangu alikuwa Professor Hammo...
Jombaa, kutania kabila flani ni jambo la kawaida, hata Tz. Wanaotaniwa wenyewe huwa wanaichukulia kama comedy tu. Sema mtu akifanya iwe ni mazoea na ndio content yake ya kila mara ndio huwa inakera.
 
Kuna ambao bila kutania kabila fulani basi hawana jokes...
 
Back
Top Bottom