Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Sio kuwa umevutiwa na huyo mwanamke?
Desagu, Jaymoo na yule mshikaji wake Cliff ndo kidogo nawafatilia.Kila nikiingia Youtube ni lazima nimfuatilie huyu jamaa anayejiita Njugush, comedy zake zinanibamba sana. Wengine ninaowapenda ni MCA Tricky, Henry Desagu na Jaymo Ule Msee. Hongera sana Wakenya...
Haha! Jaymo mtu wangu sana toka kitambo. Team mafisi...Hehehe!! Kumbe unafuatilia mwenyekiti wa chama cha fisi...Jaymo yule msee
Tafuta Mammito na Monk the Comedian pia.Haha! Jaymo mtu wangu sana toka kitambo. Team mafisi...
Haha! Prince of Mwihoko is very famous in Tanzania. Huyu ni bingwa wa misemo ya Kiswahili...Kumbe Prince of Mwihoko Henry Desagu alishavuka boda pia?
Nawajua na huwa nawafuatilia kiaina. Monk the Comedian anapita njia za MCA Tricky. Kwa female comedians I like Mammito, Jemutai and Teacher Wanjiro. Huwa nikifika Nairobi sikosi kwenda Churchill...Tafuta Mammito na Monk the Comedian pia.
Ila wengi wao akiwemo huyo MC Jessy wanapenda comedy za ukabila (hasa huwaonea sana Wakikuyu) jambo ambalo halipendezi. Ndiyo maana kwenye Churchill Show nawapenda zaidi MCA Tricky, Jasper Murume, Smart Joker, Mammito, Jemutai na kuna jamaa mmoja nimemsahau jina.Mc Jessy huwa ananifurahisha sana!! Wakenya wamepiga hatua kwenye standup commendy sana!! Komedi zao sio za majungu au kusema sema watu ovyo kama za Tanzania!! Churchill is the Best place to enjoy
Triple G what a coincidence! Kumbe mimi na wewe tumejisajili siku moja hapa JF! August 12, 2011...Mc Jessy huwa ananifurahisha sana!! Wakenya wamepiga hatua kwenye standup commendy sana!! Komedi zao sio za majungu au kusema sema watu ovyo kama za Tanzania!! Churchill is the Best place to enjoy
Jombaa, kutania kabila flani ni jambo la kawaida, hata Tz. Wanaotaniwa wenyewe huwa wanaichukulia kama comedy tu. Sema mtu akifanya iwe ni mazoea na ndio content yake ya kila mara ndio huwa inakera.Ila wengi wao akiwemo huyo MC Jessy wanapenda comedy za ukabila (hasa huwaonea sana Wakikuyu) jambo ambalo halipendezi. Ndiyo maana kwenye Churchill Show nawapenda zaidi MCA Tricky, Jasper Murume, Smart Joker, Mammito, Jemutai na kuna jamaa mmoja nimemsahau jina.
Kabla ya ujio wa MCA Tricky, best comedian wangu alikuwa Professor Hammo...
Kuna ambao bila kutania kabila fulani basi hawana jokes...Jombaa, kutania kabila flani ni jambo la kawaida, hata Tz. Wanaotaniwa wenyewe huwa wanaichukulia kama comedy tu. Sema mtu akifanya iwe ni mazoea na ndio content yake ya kila mara ndio huwa inakera.