Olliver Seid
Member
- May 12, 2017
- 51
- 125
- Thread starter
-
- #21
Seco toka lini ikawa ya wakenya!?hapo msa kjna dock 2,african marine na seco,wakenya hapo kazi zao kupaka rangi tu,dock za wataliano na tena wanawapiga mpk vibao wakenya,hamna sehemu wakenya wananyanyaswa km kwenye hizo dock
We build tankers as I showed you above(refer to MV Alpha Kirawira). Ferries and boats we leave that to you it is too basic. We do more serious and complex things that would melt the brightest Tanzanians brain.That Kunyaland of urs has never managed to build a single ferry (a glorified boat) so far!
Hizo kampuni zote nazijua,hiyo alpha ilianzia Tz wakaleta ujanja nyerere akawatimua ndio wakaenda kenya,alpha imerudi Tz kwa jina la tan pesch,ofisi zao zipo upanga pale,magumashi matupu hizo kampuni mixer wahindi na wataliano
SECO is nothing,it's just a small fish.It is one of the conglomerates of Alpha Group of Companies who have had 60 years of presence in Africa! It's headquartered in Mombasa.
which one aawapii! leta evidence hapa!SECO has built a ferry for Uganda and boats for Rwanda too.Why should I brag and of what benefit will my bragging bring me in this forum?
Is that a motor propeller vessels? Doesn't look so! BTW where is the evidence it was built by SECO? compare that with thisA lake vessel for Uganda built by SECOView attachment 1248924View attachment 1248926
Tuko vizuri mazeee dah!SECO shipyard is considered the busiest in the East African coast and the only professional shipyard between Djibouti & South Africa.
View attachment 1248969View attachment 1248971
Kilimanjaro II and MV Ukombozi a ship of 74 metres undergoing repairs at SECO
Hizi ferries Tanzania zipo zaidi ya 20 kwenye bahari, maziwa, mito na zimetengenezwa ndani ya nchiA lake vessel for Uganda built by SECOView attachment 1248924View attachment 1248926
Jaguar kashadondosha ngoma huko inaitwa UNO bora uende ukakatike kuliko kupiga kerere hapoAcha kubishana ujinga,
Iyo ni Mali ya Tanzania,
Si Kila kitu ni kubishana kama watoto
That's great!Jaguar kashadondosha ngoma huko inaitwa UNO bora uende ukakatike kuliko kupiga kerere hapo
Pia hii MV Ukombozi si pia ni ya Tz?View attachment 1249827
Na hii Mv. kilimanjaro ikifanyiwa MRO nayo mtasema nini?
View attachment 1249832
Halafu hii SECO sio ya wazawa wa Kenya km ilivyo SONGORO.Pictures of one of the barges undergoing construction in Mombasa!View attachment 1248713
News source: SECO engineering Facebook page.