Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Bei inazungumzika mkuu punguza povuUmeshatumia miez miwili halafu unauza laki 8? Mpya enyewe siyo Kwa bei hiyo yako Tena Kwa specs hizo hizo. Ukiwa na Laki 5 na 75 unaipata mpya kabisa.
Laki 3 ninayo, una maoni gani?Bei inazungumzika mkuu punguza povu
Laki 3 nakupa camon 16 s,Laki 3 ninayo, una maoni gani?
Umeshatumia miez miwili ndy tatizo, nakupa laki 3Laki 3 nakupa camon 16 s,
hii leta 550,000
miezi miwilo sio tatizo, tatizo ni quality.Umeshatumia miez miwili ndy tatizo, nakupa laki 3
Tecno ni Nini?miezi miwilo sio tatizo, tatizo ni quality.
camon 16 ina ram 4, rom 128gb. Hio ndo 300k
ongeza 200. iwe 500,000Tecno ni Nini?
Niongeze shngap? Hiyo yako sifikii
ongeza 200. iwe 500,000
itapendeza zaidi tutafikia muafaka mzuzuri kwa 500k