"Inanipa shida kidogo kuona kila mtu anaanzisha thread ya kutafuta Mchumba kwa kasi hii:
kabla hujaweka thread yako hapa hebu jiulize maswali yafuatayo yatakusaidia ktk safari unayoitaka KUANZA IT DZNT MATTER WHETHER KE OR ME:
1. umejiandaaje? MASTER CARD/UMOJA SWITCH INAFANYA KAZI? siyo unakimbilia ngono zembe halafu mwisho unarudi nimetendwa? unaweza kutuma Vocha za Xtreme at least 500 Tshs per day? unaweza kumtoa out at least mara 2 kwa mwezi?
2. Umefanya nini mpaka sasa ikiwa ni maandalizi ya kuoa/Kuolewa kijana mwenzangu? au unataka uoe/uolewe mama/baba mzazi aje aanze kulea? au kwa vile umepata ajira? ajira tu haitoshi jenga uwezo wa kujitegemea
(ujasiria mali)
3.Unajua kupenda, kutunza? kumbuka mwanamke ukimpenda kweli anajua na ukimtania anajua? vilevile kwa mwanaume kuna vitu tunanote
4. unaeleweka? lini utamwoa/utaolewa? angalia uchumba awamu ya nne hadi awamu ya tano, aah utaachwa..husomeki maana yake.
5.Tamaa zimekwisha? siyo unaoa/unaolewa leo, wikiendi ijayo una dogodogo/serengeti boys nje, mkeo/mmeo umemkimbia.
"JAMANI MAHUSIANO YANAHITAJI MAAMUZI MAGUMU KULIKO ENEO LOLOTE, MSIPOTEZEANE MUDA"
HONGERA KUIONA 2013
YOU ARE BLESSED