One step closer to an HIV cure that can eliminate the Latent Virus

Kabla ya kutibu H.I.V wangeweza kwanza kutibu alegi na hiyo ndio ingekua hatua mojawapo kuukaribia utabibu wa H.I.V, Binafsi siwaamini kabisa maana najua wanachotaka majinga sana.
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu allergy ni njia ya mwili kujikinga na mashambulizi, na ni indicator katika hatari. Lakini ni vizuri kuheshimu uamuzi wa kila mtu.
 
Bora cure ipatikane maana tumezichoka condoms mpaka tunasahau raha ya kuchapa kavu kavu. Big up scientists wa Uingereza.
Jamani cure haimaanishi ni uhuru wa kufanya utakalo, bado tuwe na nidhamu, dawa ikikukataa je? Kujikinga jambo jema.
 
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu allergy ni njia ya mwili kujikinga na mashambulizi, na ni indicator katika hatari. Lakini ni vizuri kuheshimu uamuzi wa kila mtu.

Chimbua zaidi utaona ni kwanini siwaamini, ikipatikana dawa ya alegi zinakua ni hatua chache sana zimebakia kutibu H.I.V.
 

A step ahead. But PREVENTION IS BETTER THAN CURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…