Moja ya faida, ni kupunguza msongamano , kwa sababu una check in ofisi moja na kumaliiza taratibu za immigration zote mbili kwa wakati mmoja , sababu nyingine ni illigal immigrants inakuwa ngumu zaidi kupita kwenye boarder za aina hiyo. Ukilinganisha na mfumo wa zamani.
Kama umewahi kutembelea nchi za kusini kwa barabara miaka ya nyuma hakuna boarder post ilikuwa na usumbufu kama Chirindu boarder post (Zambia to Zimbabwe) lakini walipobadilisha na kuwa one stop boarder post unaweza kumaliza taratibu zote kwa muda mfupi sana