Oneni hii jamani

Oneni hii jamani

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,588
Reaction score
22,752
Mambo zenu ma G-thinker?
Nauliza hivi ni response gan huwa mnaichukua iwapo girlfriend wako anakuwa anachat muda wote hata mkiwa kwenye mazungumzo yenu serious? Coz kuna rafiki yangu kamtelekeza girlfriend wake huko mjin kaja ananiuliza hili swala.Kisa girlfriend wake alikuwa bize na simu yake ndipo jamaa kasusa kuona hazingatiwi anachozungumza kisa sms Chating.
 
si tabia nzuri,inaumiza na kuoneysha humthamini na kuheshimu muda na uwepo wa boyfriend....natumai alimwonya kwanza, manake kuna watu wana mazoea hayo,ni vizuri kumrekebisha kwanza then akiendelea basi hatua kama hiyo inamstahili.....!
 
haileti picha nzuri! Binafsi c kuchart hata simu kuwa busy time haupo naye,unampigia unaambiwa cmu inatumika mara kibao,inaboa sana!!
 
kiukweli hata mimi nilimwacha Gf wangu sababu hiyo hiyo yaani anachat kuanzia asubuhi hadi saa sita usiku promo ikisha, inakera
 
he he he wanaboa kishenzi.akianzaga huwa nazama jf mpaka anachukia mwenyewe
 
Sasa kumuacha mjini si ndo dada wa watu atakuwa kachat hadi vidole vimeota nundu? Amnunulie galaxy tablet kabisa, it is soft to touch,lol
 
kiukweli haijatulia na inaonyesha uwepo wako sio wa muhimu kuliko hawa ninaochat nao,
 
ampige chini tu.....hamjali na wala hamthamini.
 
Siku ya Valentines namnunulia zawadi ya simu na extreme sms juu halafu namuacha
 
amezungumza na girlfriend wake kuhusu hilo swala au ndo kakimbilia kwako kuomba ushauri?
 
pole sana ... imeshakuwa kero sana kwa wadada wengi ukikaa nao hata kama ni kutoka nao muda mwinngi anachat na anasema niko kwenye group la face book basi anacheka hata kuliko ukiongea nae
 
hio sio tabia nzuri kwakweli huyo dada anapaswa ajirekebishe
 
Mteme tu siyo tabia nzuri gal frnd wangu wa kwanza alikuwa na mambo hayo sana,unaweza kuta mpo wote ila ol tym cm yake bz,alf ukiangalia chatng yenyewe anawazengua wanaume anawatongoza nikatemana naye2.
 
Mimi demu kama huyo simwachi ila nitakuwa namtafuta nikitaka mikasi tu baada ya mikasi naishia baa kupiga story na wengine ili na yeye nimwache na charting yake.
 
hiyo tabia ni mbaya tu. kwangu mimi siyo tu kwa BF, hata mtu mwingine tu nikiwa naye tunaongea serious business akiwa busy kuchat nachukia sana
 
Back
Top Bottom