Mambo zenu ma G-thinker?
Nauliza hivi ni response gan huwa mnaichukua iwapo girlfriend wako anakuwa anachat muda wote hata mkiwa kwenye mazungumzo yenu serious? Coz kuna rafiki yangu kamtelekeza girlfriend wake huko mjin kaja ananiuliza hili swala.Kisa girlfriend wake alikuwa bize na simu yake ndipo jamaa kasusa kuona hazingatiwi anachozungumza kisa sms Chating.
si tabia nzuri,inaumiza na kuoneysha humthamini na kuheshimu muda na uwepo wa boyfriend....natumai alimwonya kwanza, manake kuna watu wana mazoea hayo,ni vizuri kumrekebisha kwanza then akiendelea basi hatua kama hiyo inamstahili.....!
pole sana ... imeshakuwa kero sana kwa wadada wengi ukikaa nao hata kama ni kutoka nao muda mwinngi anachat na anasema niko kwenye group la face book basi anacheka hata kuliko ukiongea nae
Mteme tu siyo tabia nzuri gal frnd wangu wa kwanza alikuwa na mambo hayo sana,unaweza kuta mpo wote ila ol tym cm yake bz,alf ukiangalia chatng yenyewe anawazengua wanaume anawatongoza nikatemana naye2.
Mimi demu kama huyo simwachi ila nitakuwa namtafuta nikitaka mikasi tu baada ya mikasi naishia baa kupiga story na wengine ili na yeye nimwache na charting yake.