si tabia nzuri,inaumiza na kuoneysha humthamini na kuheshimu muda na uwepo wa boyfriend....natumai alimwonya kwanza, manake kuna watu wana mazoea hayo,ni vizuri kumrekebisha kwanza then akiendelea basi hatua kama hiyo inamstahili.....!
amezungumza na girlfriend wake kuhusu hilo swala au ndo kakimbilia kwako kuomba ushauri?
Mteme tu siyo tabia nzuri gal frnd wangu wa kwanza alikuwa na mambo hayo sana,unaweza kuta mpo wote ila ol tym cm yake bz,alf ukiangalia chatng yenyewe anawazengua wanaume anawatongoza nikatemana naye2.
Labda hazikuwa sms. Usijekuta huyo dada alikuwa Jamii Forum anapost kwa fujo.
POPOBAWA anapita anelekea chit-chat
Sana nimeipenda sana hii ya Popobawavery funny!
Mambo zenu ma G-thinker?
Nauliza hivi ni response gan huwa mnaichukua iwapo girlfriend wako anakuwa anachat muda wote hata mkiwa kwenye mazungumzo yenu serious? Coz kuna rafiki yangu kamtelekeza girlfriend wake huko mjin kaja ananiuliza hili swala.Kisa girlfriend wake alikuwa bize na simu yake ndipo jamaa kasusa kuona hazingatiwi anachozungumza kisa sms Chating.