Oneni jinsi Polisi wanavyodhalilisha mfuasi wa CHADEMA, Kwanini? Why?

Oneni jinsi Polisi wanavyodhalilisha mfuasi wa CHADEMA, Kwanini? Why?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?

..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.

..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu.

..kijana anayekunjwa anadai hajafanya kosa lolote.

..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?

..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.

..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu.

..huyu kijana anayekunjwa hapo Polisi anadai hajafanya kosa lolote.

Aliwakosea nini wenye nchi?
 
Hapo sasa huyo polisi WP sijui kama anaijua nafasi yake. Wako wanaume 2 dhidi ya 1. Bado kweli mwanamke unaenda kuingilia kati?? Hapa nadhani huyo mmama ameamua kumtafuti kisa tu huyo kijana.
Anyway poleni mliofikwa na kisanga hicho. Haya ndo maisha
 
Sehemu kubwa ya vyombo vya dola kwenye nchi za watu weusi sifa kubwa ni kuwa mkatili. Weledi sio sehemu ya kazi zao. Ndio maana ni rahisi sana wanasiasa walio madarakani kuwatumia kinyume na sheria, na wao huona sifa sana kutumia nguvu bila akili.
 
Inabidi wafanye hivyo maana ndio njia pekee iliyobaki ya kupandishwa cheo.
 
..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?

..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.

..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu.

..kijana anayekunjwa anadai hajafanya kosa lolote.

ukiijua elimu ya makuruta wala huwezi kuumiza kichwa
 
Ukiulizwa utaambiwa "wanatimiza wajibu wao" aisee..... Waafrika tuna taabu Sana......
 
Back
Top Bottom