Aliwakosea nini wenye nchi?..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?
..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.
..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu.
..huyu kijana anayekunjwa hapo Polisi anadai hajafanya kosa lolote.
ukiijua elimu ya makuruta wala huwezi kuumiza kichwa..kwanini Polisi wetu siyo waungwana?
..mtu anapovaa nguo za Polisi au Jeshi anapaswa kujiheshimu na kuheshimi raia wenzake.
..kamwe hatakiwi kujionyesha kuwa ni mtu wa mabavu na muonevu.
..kijana anayekunjwa anadai hajafanya kosa lolote.
Mimi ningewapiga!
Kweli