Oneni utata jamani?

 
Kiswahili si kama Kiingereza, na kinaondoa redundancy ya kurudia herufi kama m na n kama ilivyoandikwa hapo juu. Katika lugha kama kiingereza kuna kitu kinaitwa "silent letters", kwa mfano b haitamkwi inapofuatia m na kuwa mwisho wa neno, kama climb, dumb (as a rule). Sisi tuna reverse hilo kwa kuwa na repeated but invisible m and n kama ilivyoonyeshwa hapo juu.

Bottom line ni kwamba lugha zina rules na exceptions, na lugha si hesabu kwamba lazima zifuate kanuni fulani.

Most probably waandishi wa kwanza wa Kiswahili hawakuwa Waswahili na walipata challenge kuandika maneno fulani ambayo kutamkwa kwake hakufanani kabisa na lugha za kigeni, wakaandika tofauti na ikakubalika mpaka leo. Ndiyo maana mpaka leo tuna mji wa Bagamoyo badala ya Bwagamoyo.
 
Katika lugha herufi za mwanzo haziwezi zikawa mbili, mfano M'mbwa, m'mbu badala yake inatumika herufi moja mfano mbwa au mbu, au sio Ndume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…