Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ข๐ป๐ฒ๐ฃ๐น๐๐ ๐ญ๐ฏ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ผ๐ธ๐ผ ๐๐ฎ ๐ถ๐ฝ๐ต๐ผ๐ป๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด ๐ฎ
Linapokuja issue ya simu Bora za flagship basi wengi wetu huwa kwenye akili zetu huwa tunataja Samsung, iphone na Google vipi kuhusu Oneplus wengi wanapinga ๐ lakini sio kwa hii simu ni kiboko Yao.
Kampuni ya OnePlus toka china wameleta simu Kali sana aina OnePlus hii ndo best smartphone kwa mwaka 2024. Imekuja processor mpya ya snapdragon 8 Elite, betri la silicon carbon kiboko ya kutunza chaji ikiwa na waterproof imara.
Kwa ufupi tu kuhusu hii simu ๐
โข Kioo chake ni 6.82 inchi BOE X2 OLED 8T LTPO ikiwa Kioo flani hii kipana kiasi ila kembamba chenye kutoa muonekano mzuri wa taswira wakati unaangalia video au kufanya mambo mbalimbali.
โข Ina fingerprint ya mbele ya Kioo iko very ultrasonics iko na kasi kwenye kutoa lock pamoja na kulinda kifaa chako.
โข storage yake sasa kwanza ram 24GB ikiwa na 1TB internal storage ya kuhifadhi vitu mpaka basi inafanya kukupa Uwezo wa kutumia simu bila shida yoyote kuanzia performance na kucheza Game.
โข OnePlus 13 imefanya kushirikiana na hasselblad wameunda kamera yenye kutoa picha Kali sana ikiwa na 50mp Sony LYT 808 Sensor picha ni Kali Sana inatoa nyakati zote.
โข betri lake ikiwa na 600mah silicon carbon ikiwa Ina support 100W Wired charging na 50W Wireless charging yenye kuchaji faster simu na kujaa bila kupata joto.
โข simu hii imekuja ikiwa na software ya OxygenOs 15 na android version 15 iko poa kwenye kufanya multitasking, kutengeneza video content, animation, kucheza game.
Yenyewe wanakupa update ya security ndani ya miaka 5 pamoja na Os update ya miaka minne