Onesho la MetGala Masupastaa wanyukana kwa viwalo

Onesho la MetGala Masupastaa wanyukana kwa viwalo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
IMG-20190507-WA0089.jpg
IMG-20190507-WA0088.jpg
IMG-20190507-WA0087.jpg



Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali

Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kusheherekea ufunguzi wa jumba la maonesho la Metropolitani

Wahudhuriaji huombwa kuvaa kwa kuendana na maudhui ya mwaka husika

Mwaka huu walitakiwa kuvaa kisanii zaidi na mavazi yaliyojawa na rangi mbalimbali
IMG-20190507-WA0084.jpg
 
Shughuli Ni Watu Na Watu Wenyewe Ndiyo Hao Sasa
 
Back
Top Bottom