Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 May 8, 2019 #1 Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kusheherekea ufunguzi wa jumba la maonesho la Metropolitani Wahudhuriaji huombwa kuvaa kwa kuendana na maudhui ya mwaka husika Mwaka huu walitakiwa kuvaa kisanii zaidi na mavazi yaliyojawa na rangi mbalimbali
Tukio hilo hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo watu maarufu huvaa mavazi yenye taswira na ubunifu mbalimbali Onesho hili la #MetGala hufanyika mwezi Mei Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kusheherekea ufunguzi wa jumba la maonesho la Metropolitani Wahudhuriaji huombwa kuvaa kwa kuendana na maudhui ya mwaka husika Mwaka huu walitakiwa kuvaa kisanii zaidi na mavazi yaliyojawa na rangi mbalimbali
Black ma colour JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 733 Reaction score 663 May 8, 2019 #2 Kumekucha, baridi limetaradi, my credit goes to Card b
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 10, 2019 #3 Shughuli Ni Watu Na Watu Wenyewe Ndiyo Hao Sasa
Finegirlone JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,836 Reaction score 3,609 May 11, 2019 #4 Hilo gauni jekundu ni [emoji91]
P Patroman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 809 Reaction score 1,222 May 14, 2019 #5 Du...hizo nyusi balaa.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 May 14, 2019 #6 lhera said: Hilo gauni jekundu ni [emoji91] Click to expand... Anakaaje kwenye kiti huyu?!
Finegirlone JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,836 Reaction score 3,609 May 14, 2019 #7 kijani11 said: Anakaaje kwenye kiti huyu?! Click to expand... Hilo ni la maonesho tu, akimaliza shughuli yake anaenda kuvua
kijani11 said: Anakaaje kwenye kiti huyu?! Click to expand... Hilo ni la maonesho tu, akimaliza shughuli yake anaenda kuvua
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 May 14, 2019 #8 Binadamu tuna kazi.