Pre GE2025 Onesmo Mushi: Kwanini Mbowe hapaswi kupewa uongozi tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ilifanya kosa Moja kubwa sana la kumpokea lowasa, sawa mbowe na viongozi wenzie waliangalia faida ya mda mfupi ya ujio wa lowasaa lkn hawakuangalia baada ya muda watu wataitizamaje chadema?? Ukweli mchungu ni kwamba chadema ya mbowe kwa sasa haiaminiki Tena mbele ya Watanzania walio wengi. Ili kuiludisha chadema kwenye mstari ni muhimu mbowe apumzike na atakaekuwa mwenyekiti ahakikishe ajenda ya kupinga ufisadi na kuwatetea wananchi ipasavyo inaludi mezani.
 

Mwamba na chawa wake:



ni sikio la kufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…