Ongea na Mshua we Ridhiwan ..

sasa sisi nyimbo za hao wabana pua hapa zinatuhusu nini? mods pls do needfull pelekeni hii thread kule kwenye jukwaa la celebrety. na ukimuuliza mtu kama huyu ni redio gani amesikia huo upupu ni lazima atakwambia ni clouds fm, redio ambayo imejaa mashoga na wanaliwa kama mboga.
 

Matola ume-overreact.
 
huu wimbo upigwe marufuku unamzalilisha raisi wa nchi
Unamdhalilisha kivipi?kwani alivyoviimba Izo B havipo?acha kuleta utani wewe rais anadhalilishwa au anajidhalilisha kwa mambo yasiyoeleweka ayafanyayo.Tafakari,chukua hatua.Hongera sana Izo B kwa song lako kari na lenye mistari iliyo na ukweli mtupu ndani yake.
 
Ujumbe ni mzuri ila sijui kama utaweza kumfikia mshua kama ulivyo au utapungua ladha ama kuongezwa.
Wakati mwingine mshua amezoea kuisikia miziki ya namna hii na huwa haimpi shida katika mapumziko yake na
huonyesha kumuongezea usingizi.
 
kwani huyo mshua hajui hayo yote? haina haja ya riz1 kupeleka haya kwa mshua kwani anayajua yote
 
mwenye huu wimbo wa izzo bisness auattach hapa for more promo.
 

I see, mie naona ndio nimekosea jukwaa...ngoja nisepe nikatafute celebrities forums.... Uzee huu jamani...haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…