Ongeeni yote ila kuweni na huruma kwa ile project ya kumdhalilisha MO Dewji

Ongeeni yote ila kuweni na huruma kwa ile project ya kumdhalilisha MO Dewji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Watu wamewekeza mamilioni ya pesa kutafuta mtu wa kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji na katika kuhakikisha MTUKANAJI anaishi vizuri bila msongo wa mawazo wakamtafutia aprtment baharini huko masaki, usafiri mzuri na mshahara mnono

All of a sudden project ife kirahisirahisi? mnaongea maneno mengi sana ,mmejaribu kuwafikiria hawa wafadhili wa hii project wako kwenye hali gani kwa sasa? Kuweni na huruma bana wao pia ni binadamu, project yao ya kumdhalilisha MO dewji, kutukana bidhaa zake bado haijafika mwisho.

Fikiria kwa hizi weeks 3 za hekaheka ,Mo dewji hajatukanwa wala kudhalilishwa na MTUKANAJI hamuoni ni hasara kwa wafadhili wa project hiyo?

Think outside the box**
 
Tajiri atabaki kuwa tajiri tuu kidampa atabaki kuwa kidampa tuu tofauti ya kidampa ni kuwa kuna siku siku wata mdamp
 
Tajiri atabaki kuwa tajiri tuu kidampa atabaki kuwa kidampa tuu tofauti ya kidampa ni kuwa kuna siku siku wata mdamp
vippi kuhusu wanaomfadhili kumtukana Dewji? hamuwaonei huruma jamani, wamepoteza pesa zao
 
Eti hii takataka inasema ina brand!!!
IMG-20210908-WA0004.jpg
 
MUDY YUKO WAPI NA B20 ZETU KWANZA?
Hapo ndo umuhimu wa project unaonekana,b 20 hamna,anajaza tu makolokolo kwenye jeZi,ma genius waliopata idea ya.kufadhili hii project ya matusi Mungu awalinde sana
 
Nyinyi mliofadhili mtu kutukana yanga miaka zaidi ya 10, mnachokaje kwa mwaka mmoja tu ws matusi, wakati wenzenu walivumilia kwa zaidi ya 10 years
 
Nyinyi mliofadhili mtu kutukana yanga miaka zaidi ya 10, mnachokaje kwa mwaka mmoja tu ws matusi, wakati wenzenu walivumilia kwa zaidi ya 10 years
Agh kumbe alifadhiliwa kutukana yanga,sasa ma genius wakapanda dau amtukane mo na bidhaa zake badala ya simba,why
 
Back
Top Bottom