Ongeza accelaration ya gari lako

Ongeza accelaration ya gari lako

Junnie27

Senior Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
119
Reaction score
194
Kama huridhishwi na wepesi wa gari yako katika acceleration huduma inayokufaa ipo,utawekewa THROTTLE RESPONSE CONTROLLER (Pedal Box) kifaa maalum kinachochangamsha mfumo mzima wa fuel injection kufanya kazi kwa haraka na kufanya engine izifikie Horsepower zake zote kwa urahisi zaidi na hivyo kuipa gari wepesi mkali🔥🔥🔥

Dereva ataweza kutumia mode tatu tofauti(City/Dynamic/Sport) kulingana na anavyotaka gari ichanganye na ataweza kuamuru kwa rimoti yake maalum ama kwa kutumia simu (bluetooth)

Pia kuna mfumo wa Tuning uitwao Power Control X maalum kwa kuongeza Horsepowers,kwa engine iliyopo katika video hii(1HD-FTE) huongezewa hadi Horsepowers 41 na kuipa jumla ya Horsepower 245 pamoja na zile za kwake kutoka kiwandani. Pia Power Control X inaongeza torque ya 70Nm na kupunguza ulaji wa mafuta kwa 15%

Ni salama kwa 100% kwa maisha ya engine na ni rahisi kuhama nayo kama utataka kubadilisha gari. Mzigo huu hutoka moja kwa moja ujerumani,Gharama zinatofautiana kulingana na aina ya gari, zipo za gari mbalimbali sio Landcruiser tu na wala sio Toyota tu. Tutakuwekea wenyewe hapahapa Makao makuu.

Contact: 0626409908
Team Cruiser Mechanics

#dtesystemschiptuning
#pedalbox
#powercontrolx

IMG-20211004-WA0041.jpg
2951895_IMG-20211004-WA0042.jpg

IMG-20211004-WA0042.jpg
 
41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY
matter of knowledge Kwan kwa dash ile 180km/h huwa ndo mwsho wa capacity ya engine kuoffer power? Au utasema na delimit ya car n tunning jxt visit us tutakupa idea in real situation kiongozi
 
Mkuu garama zikoje nataka kufunga kwenye ATHELETE YANGU 3.5 L umenispare nahitaji mwendo mkuu

sent from HUAWEI
 
41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY

Yupo sawa mkuu. Nina uelewa na baadhi ya hizi tuning box.

Hizi gari huwa zinakuja zipo limited, ukicheza na software unaweza kuunlock vitu vingi sana.

Kwani wanaofanya tuning kwa software huwa wanaongeza nini kwenye gari yako. Mbona inaimprove perfomance.
 
Na sisi wenye magari ya kizamani rav4 3s ya 1995 auto inawezekana kwa kuongez HP na kunguza ulaji na gharama zikoje


Asante
 
41 more horsepower bila kufanya modifications zozote. Just out of the plug in device. Sikuiti muongo maana sijashuhudia ila my brother I highly doubt it. HIGHLY
Mjasiriamali anatafuta fursa then azime simu
 
Back
Top Bottom