Junnie27
Senior Member
- Aug 18, 2021
- 119
- 194
Kama huridhishwi na wepesi wa gari yako katika acceleration huduma inayokufaa ipo,utawekewa THROTTLE RESPONSE CONTROLLER (Pedal Box) kifaa maalum kinachochangamsha mfumo mzima wa fuel injection kufanya kazi kwa haraka na kufanya engine izifikie Horsepower zake zote kwa urahisi zaidi na hivyo kuipa gari wepesi mkaliπ₯π₯π₯
Dereva ataweza kutumia mode tatu tofauti(City/Dynamic/Sport) kulingana na anavyotaka gari ichanganye na ataweza kuamuru kwa rimoti yake maalum ama kwa kutumia simu (bluetooth)
Pia kuna mfumo wa Tuning uitwao Power Control X maalum kwa kuongeza Horsepowers,kwa engine iliyopo katika video hii(1HD-FTE) huongezewa hadi Horsepowers 41 na kuipa jumla ya Horsepower 245 pamoja na zile za kwake kutoka kiwandani. Pia Power Control X inaongeza torque ya 70Nm na kupunguza ulaji wa mafuta kwa 15%
Ni salama kwa 100% kwa maisha ya engine na ni rahisi kuhama nayo kama utataka kubadilisha gari. Mzigo huu hutoka moja kwa moja ujerumani,Gharama zinatofautiana kulingana na aina ya gari, zipo za gari mbalimbali sio Landcruiser tu na wala sio Toyota tu. Tutakuwekea wenyewe hapahapa Makao makuu.
Contact: 0626409908
Team Cruiser Mechanics
#dtesystemschiptuning
#pedalbox
#powercontrolx