1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
cOde hiZO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nguo zimeshonewa chuma au?Dah...Nina jeans 3... t-shirt 5.....mwaka wa 15 huu...na life iko POA tu[emoji2960]
Ni kwelinguo mbona zimevaliwa ?
Nimekutana nayo ktk acc huko insta,, hapo nachek mikato jinsi ya kujipigilia mwambaZinauzwa wapi
Eeeeh, ongeza ongezaDah...Nina jeans 3... t-shirt 5.....mwaka wa 15 huu...na life iko POA tu[emoji2960]
Mmmmhtamu
Dah...nazifua kwa kutumia unga wa muhogo na maji baridi 😀Hizo nguo zimeshonewa chuma au?
Pengine ni midolinguo mbona zimevaliwa ?
Mambo ya "wanga", enzi hizo shule ya msingi sayansi kimu tulifundishwa, kumbe vipo!Dah...nazifua kwa kutumia unga wa muhogo na maji baridi 😀