Ongeza kinga dhidi ya magonjwa kwa kikombe cha mafuta ya nguruwe

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Habari zenu.

Wadau, mafuta ya nguruwe yana chembe hai nyeupe ambayo yakitumiwa vema basi huweka kinga ya kutosha mwilini.

Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha mafuta ya nguruwe na kuweka kitunguu saumu kupunguza harufu na kuongeza kinga zaidi na zaidi.

MATIBABU

Kunywa kikombe kimoja kwa kipimo cha kikombe cha kahawa asubuhi kabla hujala kitu na usiku unavyokwenda kulala.

Usiku mwema
 
Wewe nani kakwambia kuwa mafuta ya Nguruwe kuwa ni Dawa? acha kuwaongopea watu hapa. Mimi sikubaliani na wewe hayo maneno unayoyasema.
 
Supu ya Nguruwe ni tamu kupitiliza na pia ni tiba kwa ambae hatoi jasho vizuri.
 
Subiri kutukanwa,mie napita...........
 
Mmhhhhh yaan labda hayo mafuta yatibu HIV hiv hiviiiii hapanaa wengine Nguruwe hatumliii
 
mzizi mkavu ameshakupinga kama una hoja zaidi funguka tuanze kutumia
 
Yule wa porini sawa,anakula karibu mizizi yote uijuayo.
 
hii dawa inafaa sana wajameni tutumie sana huyu mwanaharamu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…