Asante jaan
U welcome jaan miss u sana....
This is for you..
Ek Villain ~~ Banjaara Ek (Full Video Song)..Lyri : http://youtu.be/YmBZXDUWug8
Hahhahaha thank u
My pleasure jaan
Jikon naona kumelala paka nowadays. ..kimyaaa hatuli!...lol
Mkwe wangu hajambo?
Shoga angu niko busy acha tu nna mengi nataka kuweka ila huo mda sasa...
Mkweo hajambo vipi na wangu huko
Vyakula vya siku izi havina ile ladha halisi, mfano mchicha, ni vitu gani nikiweka harufu na ladha itarudi?Habari zenu.
Unaweza kupika chakula kizuri tu na kuzingatia kila hatua ila kisiwe na ladha tamu zaidi au kiwe kimepooza.
Tumia pilipili manga iliotwanga dakika 10 kabla ya kuepua chakula chako.
Kwa upande wa spicea nyengine ili zitokoleze vizuri katika chakula mfano wa spices hizo ni bizari ya pilau n.k cha kufanya ni kuweka mafuta katika pan moto kiasi ili zisiungue na kuzikaanga kwa dakika 3 alafu endelea kuweka vegetable nyengine.
natafuta ule uzi wako wa kupika pilau lenye kunukia sioniShoga angu niko busy acha tu nna mengi nataka kuweka ila huo mda sasa...
Mkweo hajambo vipi na wangu huko