Ongeza nyimbo nzuri za kupigwa wakati Wa msiba.

Ongeza nyimbo nzuri za kupigwa wakati Wa msiba.

tongelao

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
780
Reaction score
2,161
Wakuuu tusaidiane kuziandika nyimbo nzuri na zamajonzi za kutufariji pale wapendwa wetu wanapotangulia mbele ya haki...
Kwakuanzia....
1-kamanda song
2-palapanda song
3-........
4-.......
Endeleza hapo chini inaweza kutusaidia siku za usoni
 
CCM CCM

oooooh ooooh

Chama cha mapinduzi CCM namba waniiiiiii

CCM CCM

oooooh ooh

Chama cha mapinduzi CCM namba waniiiii

Watu wote wanajuaaaa (ccm namba waniiiiiii)

.
.
.
.
huu wimbo tunau play kwenye virtual DJ halafu tunauweka slow motion
 
Once you had gold by Enya
here comes goodbye by Paschal Flatts
 
  • Nimeumaliza mwendo by B.mukasa
  • Hima wee msafiri,simama na tazama nimekufa leo..nimesahau kwaya yake (Huu ukiusikiliza kesho unaenda msikitin au kanisani)
  • Mwili wangu unanidanganya
  • Nimeumbwa kwa ajili yako
  • Tunakwenda wapi tunatoka wapi
 
He nimehamia huku nimpunguze sonona ...kumbe na huku yapo
 
Madee - Kazi yake mola.
Gk feat TID - tutakukumbuka.
 
Back
Top Bottom