Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya simu. Ipakue Google play store kwe kutafuta 'Voucher Master'