sijakuelewa unamaanisha niniKaka Kuna Chuo humu ndani.
Labda hukuwahi kuona Vita watu wanagombana Hadi kununiana kisa vocha.
Mitambo ya Vocha kazi kwenu.
😎😎Good innovation, tupate na ya kuscan bila kukwangua.. itumie serial numbers au QR code. Kukwangua kunaboa.
Kumbe hata huelewi lengo la kuzificha zile namba?Good innovation, tupate na ya kuscan bila kukwangua.. itumie serial numbers au QR code. Kukwangua kunaboa.
Bado zinatumika sio wote wanakua na hela kwenye mobile money. Iyo app ina download zaidi ya 1k kwa sikuKumbe hata huelewi lengo la kuzificha zile namba?
By the way, kung'ang'ana na vocha ya kukwangua katika ulimwengu wa sasa ni kujipotezea muda mwingi sana na kujidumaza akili. Hiyo ilipaswa iwe teknolojia ya karne ya 19 huko!
kuna uzi ulikuwa wa kugawa vocha nafikiri vijana walitumia hiyo tekilonojiaKaka Kuna Chuo humu ndani.
Labda hukuwahi kuona Vita watu wanagombana Hadi kununiana kisa vocha.
Mitambo ya Vocha kazi kwenu.
Hii haiitaji internet kuitumiaNilikuwaga na app inayofanana hiyo au ni hii im not sure, au imekuwaupdated (maana ilikuwa ina scan moja moja..)
Niliifuta coz ilikuwa ina hitaji Internet connection kama hauna bundle huweki vocha yako.