Ongeza thamani ya sabuni zako kwa vifungashio bora

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Je unahitaji kuboresha bidhaa yako ya sabuni ya maji iwe ya viwango vya kimataifa na kuweza kuongeza thamani na kupata soko la kimataifa? we ni mjasiriamali ambaye bado unaweka sabuni yako katika vidumu vya maziwa badala ya vifungashio sahihi?

Sasa unaweza pata vifungashio vyenye viwango vya kimataifa km hivi hapa km mfano


Au



Katika attachment ndio picha ya vifungashio tunavyouza

Hivyo vya juu kwa ajili ya sabuni ya jikoni ni Tsh 850 kwa pisi ya ujazo wa nusu lita na Tsh 750 kwa hiyo ya handwash ya ujazo huo huo na utanunua kuanzia pisi 500

0758 308 193
 

Attachments

  • IMG_20170823_140532.jpg
    65.2 KB · Views: 261
Nahitaji vifungashio hivyo vya lulu kwa ajili ya kupaki asali ya nyuki wadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ndio vifiniko vyake kwa chupa zote
 

Attachments

  • IMG_20170823_140718.jpg
    75.6 KB · Views: 206
naweza kupata vifungashio vya sabuni kuanzia lita 10
 
OFA MAALUMU

Vifungashio aina ya chupa za sabuni ya maji vinapqtokana vya kutosha. Lita 1 na kifiniko chake sealed sh 1,000 na Cha nusu lita sh 600 na sealed kifiniko chake. Karibuni






0758 308193
 
Punguzo la mwisho wa mwaka. Chupa hizo za lita 1 nimeshusha bei Hadi bei ya mwisho wa mwaka Hadi sh 750 ukichukua zaidi ya chupa 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…