Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

Nshakwelewa sanaa ukiona ivo jua hamkufanya kwa usahihi ndo maana likachemsha mliwekeza sanaa kupata HP mkasahau wekeza ktk cooling sa hapo waja kushangaa nn?

I did those things 5yrs now but always we do kwa sport cars nnachokwambia nan experience nacho
 
Hajafanya yeye modifications... amekwambia ni stock engine.... stock product maana yake ni kitu kama kilivyokuwa kwenye ma shelf dukani (stocked) kabla hakijauzwa ....
Engine za Scania 113 zilikuja kutoka kiwandani (stock engine) na power iterations tano tofauti. Ile kubwa zaidi, 400HP, ikawa kinara wa kuchemsha.... Point ni kwamba mabadiliko ya kitu komoja, kama vile kubadili horse power, yanaweza kuwa na athari kubwa katika functionality, performance, reliability, durability...

kwa hiyo kama kiwanda kinachemsha kwenye hizi iteration je wewe unaefanya modifications bila mahesabu?
 
Mkuu asante sana kwa kumuelimisha kijana
Hawa watu wa modifications huwa wana underestimate calculations za stock engine. Mfano
Ukifanya chipping au mapping kwenye software ya engine kutoka kwa manufacturer yoyote , warranty inakufa hapo hapo , sababu wao wamefanya test zote na wana uhakika kuwa system ipo katika balanced, kwa performance na service life, unapoongeza horse power au kupinguza ulaji wa mafuta , unatoka nje ya parameters ambazo wao , kwanza wanazijua na pili wanauhakika zina hasara fulani.
Jamaa anaongelea kuongeza turbo na intercooler ,halafu anaamini cooling systems haitakuwa disturbed.
 
Sijawahi kufanya modifications hizo , naongelea kutokana na experience.
 
Shida nahsi naongea na mtu asiejua hata mifumo ya gari sa nshakwmabia turbo inayowekwa inaendana na intercooler bado wanambia cooling system itakuwa disturbed so kaz ya intercooler hapo wahsi n nn kwa mfano?
 
Kadiri tunavyoendelea unazidi kuji expose kuwa hujajipanga vizuri kwenye modification zako , intercooler na radiator ni vituviwili tofauti kabisa
Intercooler inapooza hewa kwa kutumia hewa , (air to air) Radiator inapooza maji kwa kutumia hewa ,(air to water )
Kinachobeba jukumu lote la kupooza engine ni radiator na sio intercooler.
 
Endelea kujfunza maana naona huelewi hata kitu unaongea if wahitaji elimu zaidi utoe ujinga ulionao njoo gtp garage makumbusho ujifunze vitu kwa kuona tatzo story za kuambiwa ndo zinakupotosha
 
Endelea kujfunza maana naona huelewi hata kitu unaongea if wahitaji elimu zaidi utoe ujinga ulionao njoo gtp garage makumbusho ujifunze vitu kwa kuona tatzo story za kuambiwa ndo zinakupotosha
Toa hoja sio mipasho, ninaweza kuwa na la kujifunza kwako lakini at least uwe una valid points
 
Toa hoja sio mipasho, ninaweza kuwa na la kujifunza kwako lakini at least uwe una valid points
Sina la kukufubdisha kwa uelewa wako but jua i do modification and i race mengne nakuachia ww nshakupa location ya wapi nafanya izo kazi tokea ujifunze uachane na story za kuambiwa
 
Kuna vitu kadhaa mtu wa modification bado hujavipata..
1. Engine ya 1HZ ndio ndogo kuliko zote kwenye series ya Toyota H engines.. Hapa siongelei 2H, 12H..!
2. Sifa ya 1HZ sio performance.. Ni reliability.. Engine ina 4200cc ila power output 129hp..!
3. Tabia ya diesel engines nyingi hazipendi kuRev.. 1HZ Maximum power yake unapata around 3800rpm..

Sasa ukiweka Turbo unapoteza sifa ya 1..anayetaka performance aende kwa 1HDFTE.. 24 Valves kupumua ni rahisi..! Unataka kufika 180km/h mapema tafuta petrol engine UZ..

Unafanya modification kweli lakini engines haziwezi kuwa reliable kama bila turbo.
 
Nilikuwa namueleza exactly ulichosema, sijui anakwama wapi kuelewa .
Simply ukiweka turbo kwenye engine ya 1hz , uta compromise sifa yake kuu, reliability!
 
Episode inaisha
Kijana ameeenda gtp garage
Na wazeee wamempiga spana mpaka ameamua kula kona mapema kabla meli haijazama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mimi mtangazaji wako.......
 
Daah napendaga kusikia nondo za watu waliobobea kwenye hizi mambo aseeeee nafurahi mno... natamani nije kuyafahamu kiundan haya madude
 
Hapa kwenye turbo kufanya ulaji wa mafuta uwe mdogo nipo against na wewe...

Kwenye gari yoyote fuel consumption ina Optimum point yake.

Ndio maana too lean mixture haiwezi kukupa maximum fuel economy.

Hiyo engine 1HZ hapo unapoiona imeshakuwa calculated kwamba Kwamba inafiti kwa matumizi ya hiyo gari....

Hata kwenye gari yoyote maximum fuel efficiency iko around 3 gear... Kwenye gear za mwanzo engine inakuwa na load kubwa hivyo mafuta yanaenda na kwenye gear za mwisho engine inakuwa kwenye rev kubwa hivyo mafuta yanaenda.
 
Shida nahsi naongea na mtu asiejua hata mifumo ya gari sa nshakwmabia turbo inayowekwa inaendana na intercooler bado wanambia cooling system itakuwa disturbed so kaz ya intercooler hapo wahsi n nn kwa mfano?
Intercooler haipoozi engine aiseeeee.
 
Endelea kujfunza maana naona huelewi hata kitu unaongea if wahitaji elimu zaidi utoe ujinga ulionao njoo gtp garage makumbusho ujifunze vitu kwa kuona tatzo story za kuambiwa ndo zinakupotosha

Heat energy inayokuwa produced na gari yenye turbo na gari ambayo haina haina haziko sawa.... t blj amekuuliza swali la msingi sana.
 
[emoji23][emoji23] hii mada kwa mwandiko niliyeuona, alieileta sio mwenye kuifanya kazi hii, Huu mwandiko sio wa dogo Luck Siyame, angekua ni yeye angeweza kujitetea vizuri, huyu ni chawa mmoja yuko kwenye group la Team Cruiser na hamna kitu anajua. Asamehewe[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…