Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

Yea timu nyingine ambayo inakosa weusi ni German angalau kipindi hichi Sane, Gnabry na wengine wameongeza idadi.

Katika timu ambayo nilifikiri haitakua na mchezaji mweusi halafu nikawaona wengi ni Israel.
Gerd Asamoah
 
Mleta mada point yako nini haswaa! So timu ikiwa haina mtu mweusi isishabikiwe ama? Hao weusi waliomo katik timu wanakulipa?

Timu ambazo sizipendi, na haitatokea nizipende ni brazili na England kidogo.
 
Jerome boateng alichukua world cup na German
 
Nafikiri the idea ni timu ambayo weusi wa kuokoteza kwasababu tukisema tuhesabu mmoja mmoja kihistoria hata Spain ashachezea mtu mweusi.

Kipindi cha Boateng nafikiri hawakuepo wengi. Kipindi cha kina Sane na Rudiger ndiyo wameongezeka.
 
Mleta mada point yako nini haswaa! So timu ikiwa haina mtu mweusi isishabikiwe ama? Hao weusi waliomo katik timu wanakulipa?

Timu ambazo sizipendi, na haitatokea nizipende ni brazili na England kidogo.
Nilicho andika ndo nilichomaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…