Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Kaka kuwa na akiba ya maneno basiTatizo NI kua tukimuhitaj Mungu hajidhihirishi, namimi naelekea kujiunga nao
Utajua weweKaka kuwa na akiba ya maneno basi
Wanatuharibia watoto hawaKwani Mungu si ametoa uhuru wa kufuata kile unachokipenda na kukiamini
Sasa kwanini tuwachukie wakati wamefata wanachokiamini.....
Leta njia zinazoweza kuwafanya waamini unachokiamini wewe zisipowasaidia waache watumie uhuru wao
Mtoto anaweza akaamini Mungu yupo na akaishia kuwa kahaba au shoga.....kwahiyo hapo ni suala la malezi Yako kwa watoto wako ili uwajenge katika njia unayoona wewe ni sahihiWanatuharibia watoto hawa
Amina mtumishiMtoto anaweza akaamini Mungu yupo na akaishia kuwa kahaba au shoga.....kwahiyo hapo ni suala la malezi Yako kwa watoto wako ili uwajenge katika njia unayoona wewe ni sahihi
Kwasababu hawana hayo majibuPasta mmoja alisema kuwa utoto utumwa,ujana maswali na uzee ugonjwa. Alisema tatizo viongozi wengi wa dini hawapendi kujibu maswali ya vijana kuhusu mambo ya imani
Kumekuwepo na visa vingi sana vya ulawiti watoto vya masheikh na mapadri.Wanatuharibia watoto hawa
Kwa nini uwachukue wakati hawamtapeli mtu kama wakina Mwamposa au Nabii kiboko ya wachawi?Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote.
Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
Typical mindset ya watu wa dini.Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote.
Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
Hizo ni mbinu za Ibilisi,Wanaamini Mungu yupo ila wanajisahaulisha tuu!Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote.
Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
Hata Paulo wa kwenye Biblia alikuwa anaitwa Sauli,Alitokewa na Bwana na kuambiwa unaniudhi na kupofushwa macho!Baadae akaamini ndio huyo Paulo wa kwenye matendo ya mitume.Kwani Mungu si ametoa uhuru wa kufuata kile unachokipenda na kukiamini.
Sasa kwanini tuwachukie wakati wamefata wanachokiamini.
Leta njia zinazoweza kuwafanya waamini unachokiamini wewe zisipowasaidia waache watumie uhuru wao.