Ongezeko La Bei Ya Vyumba Vya Kupangisha.

mm sna amani kila nkimuona mwenye nyumba au akinipigia sim huwa nastuka maana hpo ni kniongezea kodi tu
 
Comments nyingi zinasikitisha ila ndio hivyo biashara hii watu wanaoifanya wachache sana kwani mtaji mkubwa, ukikopa riba inaumiza, haya NHC nayo nyumba zake wenyewe mwaziona porini hakina hata fence ml 50 mfanyabiashara akikinunua kwa kukopa apangishe shilingi ngapi? Kweli hakuna option isipokuwa na yeye walau tu alipe kama ni deni la kujengea kwa miaka ndio aanze kupata faida. Tuanzie regulation chini, tuanzie kuibana serikali na mashirika yake yanayopewa ruzuku na misamaha na bado kuuza nyumba kwa bei juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…