Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani.
Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani. Ndio maana nauliza, hivi kweli TBS wapo kazini?!