Adamu Alphonce
Senior Member
- May 2, 2012
- 146
- 226
Habari humu kumekuwa na ongezeko kubwa sasa la dawa za kuongeza maumbile ya kiume haswa za asili na za kizungu kidogo kama pump na jelly za kupaka na wamekuwa wakisema sababu ni kuumwa utotoni,kupiga punyeto,ngiri au kurithi hizo ndio sababu kubwa huwa wanaziweka, sasa nimekuja hapa wataaalam mtuambie kama ni kuumwa utotoni ni maradhi gani hufanya uume kusinyaa,na kama ni punyeto kuna uhusiano gani na hizo dawa na je ni kweli punyeto inarudisha uume ndani, na kama ni tatizo la kurithi hizo dawa zinawezaje kubadilisha hali hiiyo (kama zinafanya kazi kweli)..na pia naomba mtuambie madhara yake kufanya hivyo muisadie hii jamii.!
Swali gumu amabalo huwa najiuliza huwa zinaenda kuchochea nini uume uongezeke?zinaongeza nyama ama kitugani..naomba msaada wa kitaalam
Maana nahofia siku za mbelen tutakuwa na watu wana midude ya show off lakin haina kazi sababu ya haya madawa kwa kisingizio ni dawa za asili hazina madhara..naomba kuwasilisha.!