Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Aiseee!!Kwasasa hivi ajenda za Mataga ni kurusha ngumi hewani itakayompata ni sawa tu kwao.
Mkuu, nakuuliza swali moja tu na ukifahamu jibu basi ndilo jibu la hii hoja yako nzito, unadhani ni kwanini serikali ya CCM imegoma kubadili mfumo wa Elimu?Hamna bhana.
Hebu tupitie bei za mafuta soko la dunia miaka 5 iliyopita kama zinavyotolewa na Trading Economics:
Serikali zote zisizojiamini mtaji wao mkuu ni kundi la wajinga!Mkuu, nakuuliza swali moja tu na ukifahamu jibu basi ndilo jibu la hii hoja yako nzito, unadhani ni kwanini serikali ya CCM imegoma kubadili mfumo wa Elimu ?
Hivi mkuu! Kuingiza mafuta hapa nchini ni sh ngapi kwa lita kabla ya kodi?Hamna bhana....
Hebu tupitie bei za mafuta soko la dunia miaka 5 iliyopita kama zinavyotolewa na Trading Economics:...
AsanteSerikali zote zisizojiamini mtaji wao mkuu ni kundi la wajinga!!
Kama una mfumo wa elimu unaotengeneza wajinga wengi zaidi, basi huo ndio mfumo bora kwa serikali zote zisizojiamini na serikali za hovyo kwa sababu katu hawapo tayari kuwa na kuongoza watu wenye uelewa na wadadisi!...
Mkuu Komeo Lachuma habari. Nadhani ni busara sasa kumuunga mkono Mama yetu kuliko kumpinga kwa kila analolifanya.Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana..
Hilo swali linaweza kujibiwa na importers (or TRA) kwa sababu ndio wanaofahamu ALL COSTS associated with oil imports!!Hivi mkuu! Kuingiza mafuta hapa nchini ni sh ngapi kwa lita kabla ya kodi?
Hamna bhana....
Hebu tupitie bei za mafuta soko la dunia miaka 5 iliyopita kama zinavyotolewa na Trading Economics:-
View attachment 1837439
Hapo utaona July 2018 bei ya mafuta soko la dunia ilikuwa sawa na ya hivi sasa!
Now tuangalie bei ya mafuta Tanzania hapo July 2018
View attachment 1837441
Sasa je, bei ya TSh. 2409 wakati wa JPM, yeye alikuwa analipa fadhila kwa nani?
No wonder Wabongo ni rahisi sana kudanganywa na wanasiasa!! Kumbe hapa bei ingekuwa TSh. 1,200/= watu wangeanza kumsifia Rais! Yaani hadi kesho bado watu hamjui kwamba bei ya mafuta inategemea sana na bei ya bidhaa husika soko la dunia?!
Yaani hadi leo mnashindwa kufahamu kwamba, njia pekee ya kutoathirika na bei ya soko la dunia ni kwa serikali kupunguza tozo na baadhi ya kodi kwenye bidhaa hiyo muhimu?!!
As long as Serikali ya CCM imeshindwa kutafuta vyanzo vipya vya mapato, na kufanya kodi kwenye mafuta kama moja ya vyanzo vikuu vya mapato, basi, no one... I repeat, NO ONE can control gasoline price!
Hata huyo Magu hakuwa na huo uwezo!!
Kabisa mkuu,hili ndilo jibu sahihi. Na ndio sababu pekee CCM hawataki hata katiba mpya.Serikali zote zisizojiamini mtaji wao mkuu ni kundi la wajinga!!
Kama una mfumo wa elimu unaotengeneza wajinga wengi zaidi, basi huo ndio mfumo bora kwa serikali zote zisizojiamini na serikali za hovyo kwa sababu katu hawapo tayari kuwa na kuongoza watu wenye uelewa na wadadisi!...
Kuna mtu kaniambia mpaka mafuta yanaingia hapa nchini ni sh. 1,110 kwa lita bila kodi.Hilo swali linaweza kujibiwa na importers (or TRA) kwa sababu ndio wanaofahamu ALL COSTS associated with oil imports!!
Bei niliyoweka hapo juu ni ya soko la dunia ambayo by average, ni $75 kwa pipa, ambayo ni takribani Sh. 174,000!!
Pipa moja la mafuta ni takribani 160 liters, which means, ni takribani Sh. 1090 kwa lita wakati yakiwa bado sokoni!
Hamna bhana....
Hebu tupitie bei za mafuta soko la dunia miaka 5 iliyopita kama zinavyotolewa na Trading Economics:-
View attachment 1837439
Hapo utaona July 2018 bei ya mafuta soko la dunia ilikuwa sawa na ya hivi sasa!
Now tuangalie bei ya mafuta Tanzania hapo July 2018
View attachment 1837441
Sasa je, bei ya TSh. 2409 wakati wa JPM, yeye alikuwa analipa fadhila kwa nani?
No wonder Wabongo ni rahisi sana kudanganywa na wanasiasa!! Kumbe hapa bei ingekuwa TSh. 1,200/= watu wangeanza kumsifia Rais! Yaani hadi kesho bado watu hamjui kwamba bei ya mafuta inategemea sana na bei ya bidhaa husika soko la dunia?!
Yaani hadi leo mnashindwa kufahamu kwamba, njia pekee ya kutoathirika na bei ya soko la dunia ni kwa serikali kupunguza tozo na baadhi ya kodi kwenye bidhaa hiyo muhimu?!!
As long as Serikali ya CCM imeshindwa kutafuta vyanzo vipya vya mapato, na kufanya kodi kwenye mafuta kama moja ya vyanzo vikuu vya mapato, basi, no one... I repeat, NO ONE can control gasoline price!
Hata huyo Magu hakuwa na huo uwezo!!
Mchina anatafutiwa soko na gesi yake, kuna watu wana mikono kwenye mpango ule. Wakisema wakae kimya kukibuma, nao watapata shoti. Hebu fuatilia ununuzi wa magari yanayotumia gesi hivi sasa umeongezeka au kupunguaKuna mtu kaniambia mpaka mafuta yanaingia hapa nchini ni sh. 1,110 kwa lita bila kodi.
Kama hiyo bei ni kweli basi wanaolalamika bei kuwa juu wako sahihi maana inaonekana bei inakuwa juu kutokana makodi yasiyoeleweka,.
Kama hiyo bei ni kweli, mafuta yanatakiwa yauzwe si zaidi ya 1,600
Too low for uMafuta yamekuwa yakipanda na kushuka miaka yote na bei elekezi hupangwa na Serikali.
Kimsingi, na bei kwa lita yakishaingia TZ kabla ya kodi, na yenyewe itategemea na bei ya soko la dunia! Haiwezi kuwa Sh. 1,110 wakati wote, labda kama amesema hiyo bei ni kwa mzigo wa mwisho ulio-determine bei ya sasa ya rejareja!Kuna mtu kaniambia mpaka mafuta yanaingia hapa nchini ni sh. 1,110 kwa lita bila kodi.
Kama hiyo bei ni kweli basi wanaolalamika bei kuwa juu wako sahihi maana inaonekana bei inakuwa juu kutokana makodi yasiyoeleweka,.
Kama hiyo bei ni kweli, mafuta yanatakiwa yauzwe si zaidi ya 1,600