Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%.

Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini

Kutokea mwaka 2020/2021 kulikuwa na Masoko 41, Vituo 61 kwasasa Masoko ni 42 na Vituo ni 100

#SamiaAPP
#KaziIendelee
 

Attachments

  • IMG-20240828-WA0039.jpg
    IMG-20240828-WA0039.jpg
    480.8 KB · Views: 4
  • IMG-20240828-WA0037.jpg
    IMG-20240828-WA0037.jpg
    450.1 KB · Views: 4
Hivi hayo madini huwa yanamfafishaga nani. Pita Huku Bulyanhulu, wazungu wanachimba madini enzi na Enzi. Mji umechoka nyumba zimepauka barabara mbovu hakuna hata kilomita moja ya lami, mvua ikinyesha no tope tupu hakuingiliki hakutokeki. Kuna tofauti gani ya mji wenye madini kama huu na Samvula Chole ya Kisarawe wasio na chochote?
 
Back
Top Bottom