Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%.
Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini
Kutokea mwaka 2020/2021 kulikuwa na Masoko 41, Vituo 61 kwasasa Masoko ni 42 na Vituo ni 100
#SamiaAPP
#KaziIendelee