Ongezeko la mishahara kwa walimu

Ongezeko la mishahara kwa walimu

kinakirefu

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
75
Reaction score
14
Jamani mbona hotuba ya waziri wa elimu haijataja asilimia za ongezeko la mishahara kwa walimu
 
Nashangaaaa na bajeti itapita wote wanabwata aunguko la elimu kisa mishahara duni ya walimu sasa zaidi ya 50% ya bajeti ya elimu inaenda body ya mikopo elimu ya juu sasa ongezeko na maslahi ya waalimu hakuna. Duuuuu wasitegemee miujizaa
 
Du afadhali walimu waongezewe mishahara wapungue kule Slip Way usiku kwenye part time job!
 
nasikia walimu wataanza na 5kilo diploma
 
Yaah wengi wa waalimu wanafanya part time job night shift Slip Way,na sehemu nyinginezo. Hali ya maisha ni ngumu, mishahara ni midogo.
 
Hataikiongezwa nadhani hali itakuwa ileile!!!!!!!!!!!!!!! Nchi imeshaoza hii
 
Muongezewe mshahara kwa kazi gani mnayofanya,au kwa elimu gani mlionayo vilaza wakubwa nyie?mmekalia kuuza kashata na mandazi huko mashuleni huku mkiwaacha wadogo zetu wakifeli mitihani halafu bado mnataka muongezewe mishahara!acheni tabia za kiliberali bana.
 
f** you
 
vilaza ni wewe na waliokuzaa!
Pumbafu wewe ungejulia wapi kusoma ka ma ungefundishwa na kilaza?
 
Muongezewe mshahara kwa kazi gani mnayofanya,au kwa elimu gani mlionayo vilaza wakubwa nyie?mmekalia kuuza kashata na mandazi huko mashuleni huku mkiwaacha wadogo zetu wakifeli mitihani halafu bado mnataka muongezewe mishahara!acheni tabia za kiliberali bana.
Nyok.o zako wewe
 
Kichwa chako ni papai lisilokuwa na mbegu mbulula we.
 
Back
Top Bottom