Ongezeko la mishahara

Ongezeko la mishahara

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
UVCCM_ TAIFA
MEI 14, 2022

ONGEZEKO LA MSHAHARA:

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akubali ongezeko la 23.3% kwa Kima cha Chini cha Watumishi wa Umma Nchi Tanzania.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
IMG-20220514-WA0180.jpg
 
Ongezeko haliakisi uhalisia wa maisha. Unaongeza mishahara na unaruhusu vitu kipanda bei bora uache
 
Serikali ya CCM inakua kucheza na akili za wabongo, kuzima sakata la Mzee Mdee, ghafla mishahara inapanda.
 
Back
Top Bottom